Vita vya Israel na wapiganaji wa Hamas huko Gaza vitaendelea kwa "miezi mingi zaidi", mkuu wa jeshi la Israel amesema. "Hakuna suluhu za kichawi," Herzi Halevi aliwaambia waandishi wa habari.
Khamenei alisema, "Ni ukweli kwamba hata Israel ifanye nini, haitaweza kufidia aibu iliyokumbana nayo" ya mashambulizi kutoka kwa Hamas ... wa kupigana vita vya muda mrefu na adui na iwapo ...
Mamia ya watu walikusanyika katika Kanisa la Uzawa katika mji mtakatifu kwa Wakristo wa Bethlehem Jumanne kuadhimisha Krismas nyingine iliyogubikwa na vita katika Ukanda wa Gaza.
Mamlaka za afya katika Ukanda wa Gaza jana Jumatatu zilisema kuwa mashambulizi ya Israel yameua watu 58 katika kipindi cha ...
Inatarajiwa kuanza Jumatano hii saa 10 asubuhi kwa saa za Israel, na kukomesha zaidi ya mwaka mmoja wa uhasama wa kuvuka mpaka na miezi miwili ya vita vya wazi ... kwa Hamas ya Palestina katika ...
Jeshi la Israel linaripoti kuwa limefanya mashambulizi ya anga katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa katika mji mkuu wa Yemen, ...
Shambulizi la Hamas la Oktoba 7 dhidi ya Israel ambalo lilizua vita vya Gaza lilipelekea vifo vya watu 1,206, wengi wao wakiwa raia, kulingana na taarifa ya AFP kutoka kwa maafisa wa Israeli.
SHIRIKA la Human Rights limeilaumu Israel kwa kuzuia usambazaji wa maji katika Ukanda wa Gaza, hatua ambayo imesababisha vifo ...