WAASI wa M23 jana Januari 29 wameendelea na mashambulizi baada ya kuuteka Mji wa Goma huku wakielekea Bukavu Mji mkuu wa jimbo la Kivu Kusini, katika Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Vikosi ...
Rais wa Kongo Félix Tshisekedi hakuhudhuria. Rais wa Rwanda alikuwa na maneno makali hasa kwa Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa na maafisa wa Afrika Kusini, wanaotuhumiwa "kupotosha ukweli ...
siku chache baada ya waasi wa M23 kuuteka Mji wa Goma ulioko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Wizara ya Mambo ya Nje ya Ubelgiji kupitia mtandao wake wa X imesisitiza jana msimamo wake ...
Soma pia: Waasi wa M23 waingia Goma Baadhi ya wanajeshi wa Kongo walijisalimisha kwa vikosi vya ulinzi vya Umoja wa Mataifa baada ya muda wa mwisho wa waasi wa M23, huku wengine wakikimbia kwa ...
Soma Pia: Kongo: Kundi la M23 laua watu watano huko Masisi Kwa upande wake Umoja wa Afrika umehimiza "kusitishwa mara moja" kwa mapigano makali mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Ni ripoti ya mwaka 2020 ambayo Waziri wa Sheria wa Kongo Constant Mutamba amerejesha mezani. Takwimu zilizotajwa ni za kutisha. Kwanza, dola milioni 315 za malipo ya kodi kutoka kwa Gécamines ...
Meanwhile the WA Liberals have promised to introduce new laws allowing courts to send repeat drug offenders to rehabilitation. Public transport fares would drop to a flat fee of $2.80 for ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results