MASHINDANO ya Samia/Jumbe Holiday Bonanza yanatarajiwa kufanyika katika Desemba 31, 2024 katika Uwanja wa CCM Kambarage huku ...
POLISI mkoani Kigoma wametakiwa kuacha tabia ya kutumia nguvu ikiwemo kuwachapa fimbo waendesha pikipiki maarufu bodaboda ...
Gambo licha ya kukiri kuwa wahusika wa wizi huo wanajulikana na bado wapo hai, ameahidi kutoa Sh milioni 1 kwa mwananchi ...
MAPUTO : MKUU wa Polisi nchini Msumbiji, Bernadino Rafael amesema wafungwa 6,000, wakiwemo 29 ambao walihukumiwa kwa ugadi.
WATU 10 wameuawa wakati ndege ya jeshi la Nigeria iliyokuwa inawafuatilia majambazi katika vijiji viwili iliwashambulia.
KOREA KUSINI : Korea Kusini kupiga kura kumuondoa madarakani Makamu wa Rais, Han baada ya bunge kupiga kura ya kumshtaki Rais Yoon Suk Yeol.
Dodoma, Tanzania MRADI mkubwa wa Reli ya Kisasa (SGR) nchini Tanzania, ambao unalenga kuboresha usafiri wa abiria ...
DAR ES SALAAM; MWANASIASA mkongwe nchini, Stephen Wasira ametaja sababu nne zilizofanya uchumi kuimarika pamoja na kuongezeka ...
MWANZA; MELI ya Mv Serengeti imepinduka na kuzama kwenye Bandari ya Mwanza Kusini ikiwa imefungwa katika gati bandarini hapo.
Awali, Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Maimbo Mndolwa alisema mwaka jana Rais wa Ujerumani wakati wa ziara ...
RAIS Samia Hassan Suluhu ametoa Sh milioni 10 kwa uongozi wa waendesha bodaboda Wilaya ya Arusha kwa ajili ya kuanzisha chama ...
SHIRIKISHO la Mchezo wa Bao Tanzania (Shimbata) limemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kumsaidia gharama za matibabu Rais ...