Nadhani mmemaliza mwaka kwa kushuhudia wenzangu kwenye vyama vya siasia wakimenyana kugombea ulaji. Kwenye chama chetu cha ...
Safari ya mwanamke katika uongozi hapa nchini imekuwa na changamoto kubwa kutokana na mfumo dume kukita mizizi katika jamii ...
Leo tunaanza safari ya siku 365 za mwaka 2025, natamani tujiwekee malengo kama taifa kuwa uwe mwaka wa kulisuka upya jeshi ...
Mwaka 2025, kwenye uga wa siasa nchini, utakuwa na matukio mengi ambayo yaanza kurindima kuanzia Januari hii, huku historia ikitarajiwa kuandikwa kupitia matukio hayo ambayo kwa namna moja ...
Bei ya petroli na dizeli ya rejareja kwa Januari 2025 imeendelea kushuka nchini, ikilinganishwa na Desemba 2024, huku sababu ...
Vita ya hatima ndicho kinaendelea Chadema. Siyo vita na hatima kama simulizi ya familia ya Ku, Asia Mashariki, kwenye ...
Rais Samia Suluhu Hassan ameungana na baadhi ya wananchi kutoa salamu za mwaka mpya ambao wameeleza wanayoyataka 2025, ...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema mwaka 2024 Tanzania ilikumbwa na jinamizi la ajali za barabarani, akieleza idadi ya watu ...
Baadhi ya wakazi wa Mkuranga mkoani Pwani wametaka kuongezwa kasi ya kuboresha ujenzi wa barabara ndani za jimbo upatikanaji ...
Wakati zimesalia saa chache kuumaliza mwaka 2024 na kuingia mwaka mpya wa 2025, makamanda wa polisi wa mikoa, wamepiga ...
Wakati zimebaki saa chache kumalizika kwa mwaka 2024, Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imetangaza mipango yake ya kuwekeza ...
Dar es Salaam. Wito umetolewa kwa jamii kuwasadia watu wenye mahitaji maalumu ili nao washerehekee mwaka mpya kwa furaha.